Frequently Asked Questions

(Click on the question and the answer will be displayed.)

Do you offer French courses?
Yes, we offer French courses for children, teenagers and adults.
Do you offer computer courses?
No, we do not offer computer courses but students can have free-access to the computers in the library.
What is the duration of the course?
10 weeks with 20, 40, 80 or 120 hours depending on the type of course you chose (see on our brochure for more information).
What are the registration procedures ?
  • Complete a registration form at the reception
  • Take a test so that your starting level can be assessed by a qualified French teacher
  • Pay the course fee at BOA Bank ; NDC BRANCH
How much does it cost ?
For General French classes, the fees vary from 200.000 tshs (Regular) to 600.000 tshs (Intensive). As every student of Alliance, you will also have to register as a member of Alliance française, which will allow you to benefit from different advantages.
Can I pay in installments ?
No, payment is in full by cash, check or card
Can I reserve a place before I pay the course fee ?
No, places are available on a first come served basis.
Can I get a refund after I pay ?
No refunds or credits will be made for partial, discontinued or interrupted attendance of a course, and for Public Holidays. However, you will be completely reimbursed if the class is cancelled.
Is there a certificate at the end of the course ?
Yes, you can get a certificate of attendance at the end of the class.
What do teacher use as teaching aids ?
DVDs, Videos, CDs, books and other supplementary materials.
Are some of the teachers from France ?
Yes, some of them are French native speakers.
Do I need to speak French before I join the course ?
No you don’t. There are specific classes for beginners.
Do you offer scholarship for Alliance students ?
No we don’t.
Is it possible to conduct on-line studies ?
No it’s not. You have to attend the classes in person.
How do I benefit with my French diploma ?
DELF DALF diplomas are recognized internationally, in French universities for example. If you plan to live, work or study in France or another French-speaking country, such as Rwanda or Congo, these diplomas may be required by education, immigration or by another employer.

 


Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Mnafundisha kozi za kifaransa?
Ndiyo, tunafundisha kozi za kifaransa kwa watu wazima na vijana.
 
Mnafundisha kozi za kompyuta?
Hapana. Hatufundishi kozi za kompyuta,hata hivyo,wanafunzi wanaweza kutumia kompyuta zilizomo kwenye kituo chetu cha kujihudumia mwenyewe.
 
Je, kozi hii ni ya muda gani?
Wiki kumi,saa 20,40,80 au 120 inategemea na aina ya masomo uliyochagua (angalia kwenye kipeperushi cha masomo kwa maelezo zaidi).
Taratibu za kujiandikisha zikoje?
  • Jaza fomu ya kujiandikisha inayopatikana mapokezi
  • Fanya Jaribio la Umilisi ili Kiwango chako cha kuanzia kiweze kupimwa na kutambuliwa na Mwalimu wa Lugha ya Kifaransa mwenye sifa.
  • Lipia ada BOA Bank tawi la NDC
 
Gharama ni kiasi gani?
Kwa madarasa ya kawaida, unalipia  shilingi laki mbili (200.000) na kwa madarasa ya kila siku  unalipia shilingi laki sita (600.000). Pia utatakiwa ujiandikishe kuwa mwanachama wa Alliance Française ili uweze kunufaika zaidi.
 
Je, ninaweza kulipa kidogo kidogo?
Hapana. Malipo ni ya mara moja na ni kwa fedha taslimu,cheki au uhawilishaji wa kibenki wa moja kwa moja kabla ya kozi kuanza.
 
Ninaweaza nikawekesha nafasi ya kozi kabla ya kulipa ada?
Hapana. Nafasi zinapatikana kwa kujali yule anawahi,ndiye anayehudumiwa.
Je, ninaweza nikarudishiwa fedha baada ya malipo?
Hakuna. Malipo ambayo yatarejeshwa kwa mwanafunzi ambae atasitisha masomo au atatoroka na pia kwa siku zote za mapumziko ya kitaifa.
Je, mwishoni mwa kozi,kunatolewa cheti?
Ndiyo,unapata cheti cha mahudhurio mwishoni mwa kozi.
Walimu wanatumia nini kama vifaa vyao vya kufundishia ?
DVD,Video, CD, Kaseti za Kusikia,vitabu na vifaa-kamilishi vingine vingi.
Je walimu wanatoka ufaransa?
Baadhi ni wafaransa, kuna wakongo,warwanda na Watanzania.
Je natakiwa kuongea kifaransa kabla ya kujiunga na masomo?
Hapana, kuna masomo maalumu kwa ajili ya wale wanaoanza.
Je mnatoa udhamini wa kwenda kusoma nje ya nchi kwa wanafunzi wa Alliance française?
Hapana.
 
Je inawezekana kusoma kwa njia ya masafa?
Hapana,unatakaiwa uhudhurie darasa wewe mwenyewe.
Ni faida zipi naweza kuzipata nikiwa na Diploma ya kifaransa?
Mitihani ya DELF DALF ni mitihani  inayotambulika kimataifa.kwenye vyuo vikuu vya Ufaransa  kwa mfano kama ukiamua kuishi katika nchi zinazoongea kifaransa kama Rwanda au Congo,Hizi Diploma zinahi.